
Ubelgiji yajiunga katika kesi ya mauaji ya halaiki ya Afrika Kusini dhidi ya Israel
Ubelgiji imeungana na Afrika Kusini katika kesi iliyofikishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), ambayo inaishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya kimbari huko Gaza.