Wanachama wa kikundi cha kusaidiana cha WAPONYAMASWA cha wilayani Misungwi mkoani Mwanza wameiomba serikali kudhibiti mfumuko wa bei kwenye vifaa vya ujenzi ili kupunguza migogoro katika vikundi vya aina hiyo sambamba na kusaidia ufanikishaji wa kampeni ya kitaifa ya ujenzi wa makazi bora ya ‘TOA NYASI, WEKA BATI’.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi