#HABARI: Miili mitatu kati ya mitano ya watalii raia wa Jamhuri Czech, akiwemo Rubani raia wa Zimbabwe, waliofariki katika ajali ya helkopta mali ya Kampuni ya Kilimed Air, inayofanya kazi ya uokoaji na kuanguka jana majira ya saa 11: 30, eneo la Kambi ya kulala wageni ya Barafu, ndani ya hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro, imeanza kufanyiwa utaratibu wa kusafirishwa kwa ajili ya maziko kuelea nchini mwao mara baada ya taratibu zingine za ubalozi wa nchi zao kukamilika huku miili mingine miwili ikitarajiwa kukabidhiwa ndugu zao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *