#HABARI: Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imekanusha taarifa zilizokuwa zimesambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa ina mpango wa kuagiza vifaranga vya kuku kutoka nje ya nchi.
Tamko hilo limetolewa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, wakati wa mkutano wa wadau wa sekta za Mifugo na Uvuvi uliofanyika Jijini Mwanza.
Balozi Dkt. Bashiru amewataka wafugaji wa kuku kusubiri mkakati uliopangwa na Serikali ambao unalenga kulinda masoko na mitaji yao.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.