Jamii ya wafugaji katika Tarafa ya Pawaga, mkoani Iringa, wameiomba Serikali kuingilia kati kutatua changamoto ya uhaba wa maeneo ya malisho na marambo ya kunyweshea mifugo, hali inayozidi kuchochea migogoro kati yao na wakulima.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @rajjmsangi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *