Sera na mtaala mpya wa elimu nchini ni miongoni mwa mambo ambayo yameendelea kupewa mtazamo wa kiutekelezaji kwa mwaka 2025, huku wadau wakisisitiza kuwa mikakati kamili bado inahitajika ili kuendeleza mafanikio yaliyoanza kuonekana kuelekea mwaka 2026, kama anavyotueleza Faraja Sendegeya katika muendelezo wa makala za mwisho wa mwaka.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @rajjmsangi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *