
Wachunguzi wapekua eneo la ajali ya ndege iliyomuua Mkuu wa Jeshi la Libya
Libya imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia vifo vya makamanda wake wakuu wa jeshi katika ajali ya ndege iliokuwa inasafiri kutoka mji mkuu wa Uturuki, Ankara siku ya Jumanne.