Wizara ya mambo ya nje ya Nigeria imethibitisha mashambulizi ya Marekani dhidi ya maeneo ya kigaidi // Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim, ameagiza uzalishaji zaidi wa makombora mwaka 2026 // Na Ujerumani haitajiunga na kikosi cha kulinda amani Gaza hivi karibuni.