Chama Kikuu Cha Ushirika Cha Songea Na Namtumbo (SONAMCU) mkoani Ruvuma kimegawa mbegu za zao la mbaazi tani 10 kwa wakulima wa Halmashauri ya Namtumbo ikiwa sehemu ya utekelezaji wa maagizo ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ya kutaka vyama vikuu vya ushirika nchini kutoa faida kwa vyama wanavyohudimia katika kuzalisha mazao yenye tija .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *