Guinea inatarajia kufanya Uchaguzi Mkuu siku ya Jumapili, Desemba 27 mwaka huu.
Nchi hiyo inatarajia kurejesha utawala wa kiraia baada ya mapinduzi yaliyofanyika mwaka 2021 wanajeshi walipovamia Ikulu na kumuondoa madarakani Rais Alpha Condé.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @claud_jm