#HABARI: Nyumba 46 zimeanguka katika kata ya lwiche Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa kutokana Mvua iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali Disemba 26, 2025 na kusababisha watu watatu kujeruhiwa na wengine kuhifadhiwa kwa majirani.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania