Ni siku ya kupokea na kufungua zawadi kutoka kwa tuwapendao na tunaofurahi nao kila siku 🎁

Na sisi Makachero, tupo tayari kupokea mazawadi hayo nasi tutatoa kwa washkaji zetu wanaokuwa nasi kila siku kuanzia saa 1:30 πŸ“ΊπŸ”₯

Wewe una zawadi gani unayotaka iende kwa nani? Tuletee hapa, nasi tutaipeleka kwa umpendaye bure kabisa Yaaani tunayoosha na FREE DELIVERY kwa ajili yako, kwa sababu leo ni Sikukuu πŸŽ‰πŸ’

#SentroCloudsTv
#Clouds26Nyooshaa..!!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *