Vijana mkoani Singida waja na njia mpya ya ‘kuku choma damdam’ kushawishi uchangiaji damu kuokoa maisha hususan kwa vijana, ambapo wameunganisha utamaduni wa kula nyama na zoezi la kuchangia damu.

Ubunifu huo umelenga kumaliza changamoto ya uhaba wa damu katika hospitali za mkoa huo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @claud_jm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *