Wahenga husema ‘Mungu hamtupi mjaa wake’ usemi huu unajihidhihirisha kwa Verian Mlewa (75) mkazi wa Kata ya Mtumba, mkoani Dodoma aliyetaka kuuza nyumba yake kwa shilingi 500,000 ili kupata matibabu ya upasuaji wa uvimbe katika ubavu…Sasa ana afya imara na bado anaishi kwake.

Alifanikiwa vipi? Joyce Mwakalinga amemtembelea Verian kujua kisa chake.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @claud_jm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *