Wakati sikukuu za mwisho wa mwaka zikiendelea, Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Pwani umefanya operesheni maalumu ya kukagua mizani inayotumika kuuzia nyama katika maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Kibaha, ili kubaini wafanyabiashara wanaoibia wananchi kupitia mizani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *