Wakati wananchi wakisherehekea sikukuu ya kufungua zawadi (Boxing Day) ambayo mara nyingi huenda sambamba na kutoa na kupokea zawadi, ujumbe wa upendo umetolewa na viongozi wa dini huku baadhi ya wafanyabiashara wakieleza namna biashara ilivyokuwa ngumu ikilinganishwa na mwaka uliopita kipindi kama hiki.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @claud_jm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *