Kadri mwaka unavyokaribia kuisha na kuanza mwaka mpya, wataalamu wa masuala ya afya ya akili wanahimiza jamii kutumia kipindi hiki kama fursa ya kujitathmini.

Akizungumza kuhusu umuhimu wa mchakato huo, Mwanasaikolojia Godfrey Mwamnyanyi amesema kuwa kuna aina mbili za maswali muhimu ambayo kila mtu anapaswa kujiuliza anapohitimisha mwaka na kujiandaa kuingia mwaka mpya.
Msikilize..

✍Ibrahim Kimambo
Mhariri | @rajjmsangi
#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *