Mambo yanazidi kuwa magumu lakini Hashmet hana hata habari na yanayoendelea. Aziza anajaribu kutoroka na baba yake anamnyooshea bastola. Usikose kutazama 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *