Mwandishi wa vitabu na mlezi wa masuala ya kijamii, Eva Mrema, amesema kuwa watoto huwa na maswali mengi yanayohitaji majibu sahihi kutoka kwa wazazi au walezi wao.
Ameeleza kuwa pale watoto wanapokosa ukaribu wa kutosha na wazazi wao, hulazimika kutafuta majibu ya maswali yao kutoka kwa watu wengine wanaodhani kuwa wana majibu sahihi.
Sikiliza ufafanuzi wake
✍Ibrahim Kilumbo
Mhariri| @rajjmsangi
#AzamTVUpdates