#HABARI: Rais William Ruto angeshinda muhula wa pili iwapo uchaguzi wa Urais ungefanyika hivi leo, hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na kampuni ya utafiti ya Infotrak. Hata hivyo uchaguzi huo ungelazimika kwenda kwenye duru ya pili ili kupata mshindi kikatiba.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *