Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Takriban watu 4 wamepoteza maisha jana Jumapili baada ya kuzuka makabaliano wakati wa maandamano yaliofanywa na jamii ya walio wachache nchini Syria ya Waalawi / Rais wa Marekani Donald Trump amesisitiza kwamba Ukraine na Urusi ziko karibu kufikia makubaliano ya amani.