Familia yenu hujumuika pamoja mwishoni mwa mwaka kwa ajili ya kujadiliana mambo yanayoihusu?

Ukoo wa mwandishi wa habari wa Azam TV kutoka Tanga, Mariam Shedafa una utaratibu huo wa kukutana kila mwisho wa mwaka.

Mwaka huu wamekutana wapi? Na kwanini utaratibu huu ni mzuri?

Msikilize

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *