Hali ya hewa ya mvua imeendelea kuonekana kwenye maeneo mbalimbali nchini kwa nyakati tofauti huku mkoani Katavi zikisababisha kifo cha mtu mmoja na majengo kadhaa kuharibiwa.

Taarifa ifuatayo inaangazia athari za mvua hizo katika mikoa mbalimbali.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *