Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini (NIDA) imezindua namba maalum ya ufuatiliaji wa vitambulisho vya taifa ikiwa ni sehemu ya maboresho ya utoaji wa huduma kwa wananchi.
Uzinduzi wa namba hiyo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi