Master Chef Mzigo mpya kupitia Azam ONE, inaanza Ijumaa hii Januari 02, 2026
Majaji wakuu wa shindano la upishi Australia wana kazi ya kuwapima, kuwachuja na wapishi bora wa nyumbani wenye shauku ya kuwa washindi kupitia shindano la upishi lenye ushindani mkubwa.
Nani kuibuka mpishi bora
Usikose kuanzia tarehe 02, 2026 saa 3:00 usiku Ijumaa hadi Jumapili kupitia #AzamONE
#AzamONEUnloacked #AzamONEWeSpeak