Mkuu wa mkoa wa Tabora PAUL CHACHA ametembelea kukagua baadhi ya maeneo yaliyoathiriwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani humo ambapo ameziagiza mamlaka kuhakikisha zinasimamia na kuzuia wanaoendelea kujenga bila vibali vya ujenzi.