
Msumbiji yakata kiu chake cha miaka 39 cha ushindi katika AFCON
Gabon imechujwa nje Afrika 2025 baada ya kichapo cha 3-2 kutoka kwa Msumbiji katika mpambano wao wa Kundi F mjini Agadir, ambao ulijibu subira yao ya takriban miaka 40 ya ushindi wa mechi ya Afcon.