NMB MAPINDUZI CUP 2026:

Jumatano hii, AzamFC watacheza mechi yao ya kwanza ya michuano ya NMB Mapinduzi Cup kwa kukipiga na Singida BS.

Mechi hii itachezwa kuanzia saa 2:15 usiku, na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD.

Singida BS walianza michuano hii kwa ushindi, je wataendeleza wimbi la ushindi ama kupasuka kwa matajiri wa jiji, AzamFC?

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.

#NMBmapinduzicup #sisinisoka #azamtvsports

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *