Shirika la reli nchini (TRC) limeongeza safari za treni ya kisasa (SGR) ili kuwahudumia abiria walioathirika na kukatizwa au kucheleweshwa kwa baadhi ya safari za SGR jana Disemba 28, 2025 kutokana na miundombinu ya reli kuathiriwa na mvua na kukatika kwa umeme.
Hii hapa taarifa kamili.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi