Heri ya kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa, Naibu Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Bukombe, Mheshimiwa Dkt. Doto Mashaka Biteko (@biteko).

#Cloudsmediagroup tunakutakia maisha marefu yenye mafanikio na baraka zaidi ndani yake.

#Clouds26Nyoosha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *