“Mama yangu ni mmoja kati ya watu ambao wamenipa chachu ya kujifunza kwamba lazima usimame mwenyewe. Na kwenye maisha huwezi kutegemea mtu lazima kujifunza usimame mwenyewe akitokea wa kukusaidia sawa! Asipotokea wa kukusaidia bado utasimama mwenyewe na utasukuma gurudumu”-Malkia wa Nguvu, Lightness Guga.
#SentroYaCloudstv
#LainiYawana