Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema umejipanga kuanza utekelezaji wa mpango wa ‘Bima ya Afya kwa Wote’ unaotarajiwa kuanza Januari Mosi, 2026 huku Mkurugenzi Mkuu (NHIF), Dkt. Irene Isaka akitoa ufafanuzi wa kina.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi