Wananchi wa kijiji cha Milala, wilayani Mpanda, mkoani Katavi wamewaweka ‘kitimoto’ viongozi wa eneo hilo wakitaka majibu kuhusu eneo lililotengwa kwa ajili ya makaburi kugeuzwa shamba.
Mwanaidi Waziri amefuatilia sakata hilo.
#Azamtvupdates
Mhariri | @moseskwindi