Kadri mwaka 2025 unavyofikia tamati, wananchi wametakiwa kufanya tathmini ya hali zao za kifedha ili kujua kama malengo waliyoweka yametimia na kupanga mipango bora kuelekea mwaka 2026.
Akizungumza kuhusu suala hilo, mchambuzi wa masuala ya uchumi Janeth Soka amesema makosa ya kifedha yanayojirudia ndiyo chanzo kikubwa cha maisha kubaki katika hali ileile au kuwa magumu zaidi.
Ametaja miongoni mwa makosa hayo kuwa ni kukosa mipango ya matumizi, kutoweka akiba, pamoja na kutotathmini mapato na matumizi mara kwa mara.
✍ Ibrahim Kilumbo
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates