Karibu kutazama namna Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilivyotekeleza mipango yake kwa mwaka 2025 kupitia utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati na maboresho ya huduma kwa wateja, hatua zilizoimarisha upatikanaji wa umeme wa uhakika kwa Watanzania.
Kwetu sisi, Mpango Umewezekana kuendelea kutoa huduma bora na kuyaangaza maisha ya Watanzania.
#MpangoUmewezekana2025