Mechi za makundi AFCON zinakamilika leo Jumatano

Algeria ameshafuzu hatua ya mtoano anakamilisha ratiba kwa kukipiga na Equatorial Guinea.

Sudan na Burkina Faso kila mmoja ana alama tatu.

Je, ni Sudan ama Burkina Faso nani kuchukua alama tatu na kuungana na Algeria kwa hatua ya 16 bora kutoka Kundi E.

Mabingwa watetezi Ivory Coast wakiwa na alama nne kukipiga na Gabon ambao hawana alama

Msumbiji wakiwa na alama tatu kukabiliana na Cameroon wenye alama nne.

Je, timu gani kutoka Kundi F kufuzu kwenda hatua ya 16 bora

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii.

#AFCON2025 #Azamtvsports

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *