Tunapoaga 2025, tunaacha nyuma mzigo wa huzuni na kubeba mbele hazina ya hekima.

Tunapoukaribisha 2026, tunasema karibu mwaka wa mwanga, karibu mwaka wa hatua, karibu mwaka wa ushindi.

Mwenyezi Mungu atutangulie, atulinde, na atujalie safari njema katika mwaka huu mpya.

#SentroCloudsTv
#Clouds26Nyooshaa..

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *