Wabeba silaha wateka nyara watu wengine 14 Nigeria, yumo bibi harusi na kitoto kichanga
Washambuliaji wenye silaha wamewateka nyara wanawake 13 na mtoto mchanga katika hujuma mpya ya uvamizi uliofanywa usiku wa kuamkia jana Jumapili kaskazini mashariki mwa Nigeria, ukiwa ni mwendelezo wa matukio…