#HABARI: Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Ruvuma, Mhe. Happines Ngwando, amesheherekea sikukuu ya mwaka mpya kwa kula chakula cha pamoja na kutoa misaada mbalimbali, kwa watoto wenye mazingira magumu ikiwemo kuchangia matibabu ya mtoto mmoja aliyezaliwa bila kuwa na njia ya haja kubwa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.