Iwapo ungesimuliwa hili ‘kijiweni’ huenda ungebishana na kupinga hadi msimuliaji naye angeanza kujiuliza kama alichosimulia ni kweli lakini ‘Panya wanastaafu kazi na wanakula pensheni yao’.
Huamini?
Ungana na Theresia Mwanga akupe undani wa habari hii.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi