Katika kuunga mkono jitihada za Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii za kuhamasisha utalii wa ndani nchini, Umoja wa Chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo (SACCOS) cha kata ya Kipengere wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe, umetoa wito kwa wananchi wanaoishi karibu na hifadhi za taifa kuwa mfano wa kuigwa katika kuzitembelea hifadhi hizo badala ya kusubiri wageni kutoka mataifa ya nje kuja kukuza sekta ya utalii.
#kilichoborakabisa