Waongozaji sherehe, matukio ya burudani na hafla mbalimbali maarufu kwa jina la ‘Wasema Chochote’ (MC) wamesema hatua ya Barazala Sanaa la Taifa (BASATA) la kuwataka kuwa rasmi kwa kupata vibali vya mamlaka hiyo sambamba na wapigishaji muziki kwenye kumbi za sherehe na shughuli mbalimbali (Ma-DJ) itawasaidia kukuza uaminifu na uwajibikaji wa kitaaluma.
Wasikilize.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi