Samia akutana na viongozi Wizara ya Ulinzi, JKT – HabariLeo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu ndogo ya Tunguu – Zanzibar, leo Januari 06, 2026. (Picha na Ikulu)