Je, Marekani ina malengo gani? baada ya wanajeshi wake kuingia nchini Venezuela na kumteka Kiongozi wa nchi hiyo Nicolas Maduro na mkewe na kuwapeleka Marekani kujibu tuhuma za kile ambacho Rais Donald Trump amekiita ‘Ugaidi wa Mihadarati”? Huu ni mjadala kwenye Maoni Meza ya Duara wiki hii. Mwenyekiti ni Zainab Aziz.