
Marekani yapongeza kusitishwa mapigano kati ya jeshi la Syria na kundi la kigaidi la YPG Aleppo
Marekani inasema kusitishwa mapigano kwa muda Aleppo kunatengeneza mazingira mazuri baada ya vita vilivyowaua raia wengi, huku juhudi zikiendelea kuzuia mapigano kuanza tena.