Akizungumza katika hafla ya kuwakumbuka Wavenezuela 100 ambao serikali yake inadai waliuawa katika shambulio la Marekani amesema hawajawa chini ya mamlaka ya mtu na wala hajatishwa. Rodriguez aliongeza kwamba siku ambayo majeshi ya Marekani yalifanya mashambulizi dhidi ya taifa lake, Januari 3, hakuna aliyejisalimisha, na kulikuwa na mapambano ya kulinda taifa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *