Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kwamba nchi zinazofanya biashara na Iran zitakabiliwa na ushuru wa asilimia 25 kwa “biashara yoyote inayofanywa na Marekani.

Trump aliandika kwenye jukwaa lake la mitandao ya kijamii  kwamba kuanzia mara moja, nchi yoyote inayofanya biashara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran italipa ushuru huo kwa biashara yoyote inayofanywa na Marekani na kwamba amri hii ni ya mwisho.

China, Brazili, Uturuki na Urusi ni miongoni mwa nchi zinazofanya biashara na Iran. Hata hivyo hakuna uwazi kuhusu ikiwa tangazo hilo linawaathiri washirika wote wa biashara au baadhi yao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *