Uganda kuzima mtandao wa intaneti siku ya uchaguzi: Mamlaka ya mawasilianoUganda kuzima mtandao wa intaneti siku ya uchaguzi: Mamlaka ya mawasiliano

Uganda kuzima mtandao wa intaneti siku ya uchaguzi: Mamlaka ya mawasiliano

Mamlaka ya mawasiliano nchini Uganda imetangaza kuwa itazima mtandao wa intaneti siku ya Jumanne, siku mbili tu kabla ya uchaguzi ambao Rais Yoweri Museveni atagombea dhidi ya Bobi Wine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *