Iran yasema Marekani inatafuta ‘kisingizio cha kuingilia kati kijeshi’. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky akiri hali ni ngumu nchini Ukraine. Na viongozi wa Denmark na Greenland waungana kupinga wito wa rais Donald Trump kutaka kulitwaa eneo la Greenland.