Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili akiwemo Doto Lubongeja mkazi wa kijiji cha Madundasi wilayani Mbarali kwa tuhuma za mauaji ya watoto watatu wa familia moja wasiokuwa wakichunga mifugo ya nyumbani kwao kwa kuwanyonga na kuiba ng’ombe 15 kisha kuwauza kwa Shilingi Milioni 5.1 kwa kushirikiana na Njombe wake.
Watoto waliouawa ni Petro Amosi (8), Samu Amosi (6) na Nkamba Amosi (4) wote wakazi wa kiijiji cha Madundasi.
Mhariri @moseskwindi